Oral Health Education
Dec. 9, 2024

DAWA GANI YA MENO NI SAHIHI
Dawa ya meno ni bidhaa ya kusafisha meno ambayo hutumiwa kwa pamoja na mswaki ili kusaidia katika kusafisha meno, kudumisha afya ya kinywa, na kuzuia matatizo kama vile k…

Dec. 2, 2024

USAFI WA KINYWA

Usafi wa kinywa na meno ni muhimu ili kudumisha afya bora ya meno, fizi, na kinywa kwa ujumla, pamoja na kuzuia matatizo kama kuoza kwa meno, ugonjwa wa fizi na harufu mbaya ya mdo…

Nov. 24, 2024

MAGEGO KUOTA VIBAYA (IMPACTION)
Hii ni hali ambayo magego ya mwisho (third molars) hayapati nafasi ya kutosha kuota kwa kawaida kwenye taya,hivyo kushindwa kuchomoza vizuri kwenye fizi kusababisha m…

Nov. 18, 2024

SARATANI YA KINYWA

Saratani ya kinywa ni aina ya saratani inayojitokeza kwenye tishu za mdomo, ikiwemo midomo, fizi, ulimi, paa la kinywa, mashavu ya ndani, na sehemu ya nyuma ya koo. Saratani ya …

Nov. 12, 2024

HELIOSEAL

Helioseal ni bidhaa inayotumika katika tiba ya meno, hasa kwa ajili ya kuziba nyufa ndogo na mitaro (fissures) kwenye sehemu ya juu ya meno (occlusal surface). Inatengenezwa na kampuni y…

Oct. 31, 2024

MENO KUVUNJIKA/KUPASUKA

Ni jambo la kawaida sana kuskia mtu anasema jino langu limemeguka,limepasuka au ni kipande. Jino kupasuka ni ile hali ya sehemu ya nje ya jino (enamel) kupata nyufa na kudh…

Oct. 25, 2024

KUOZA AU KUTOBOKA  KWA MENO
Kuoza, kutoboka ama kuharibika kwa meno (Kitaalamu hujulikana Dental Caries), ni tatizo ambalo husababisha meno kumomonyoka na kutengeneza shimo ama kubadilika rangi…

Oct. 23, 2024

CERVITEC FLUID & GEL

Cervitec Fluid na Cervitec Gel ni bidhaa za utunzaji wa meno na kinywa zinazotengenezwa na Ivoclar Vivadent, kampuni inayojulikana kwa utengenezaji wa vifaa na bidhaa za m…

Oct. 18, 2024

HARUFU MBAYA MDOMONI (HALITOSIS)
Harufu mbaya, kwa kitaalamu huitwa Halitosis, ni tatizo ambalo huathiri watu kulingana na kile wanachokula, namna wananvyotunza afya ya vinywa na meno yao. Lakini pi…

Oct. 12, 2024

FIZI KUVIMBA (GINGIVITIS)

Fizi kuvimba (kitaalamu Gingivitis) ni tatizo la kiafya ambalo hujitokeza kinywani na kuathiri fizi kupelekea kua laini,kubadilika rangi, kutoa damu na hata maumivu makal…

Oct. 6, 2024


VIDONDA VYA KINYWANI (RECURRENT APHTHOUS ULCERS)
Hivi ni vidonda vya kinywani vinavyojitokeza kwenye utando wa fizi na midomo ya juu na chini. Pia hujulikana kwa jina la “Canker Sores”…

Oct. 1, 2024

1.FANGASI ZA KINYWA (ORAL CANDIDIASIS)

Fangasi za kinywa, pia hujulikana kama oral thrush au candidiasis ya kinywa, ni maambukizi yanayosababishwa na kuongezeka kwa fangasi aina ya Candida albican…

Oct. 1, 2024

Reflecting on the cost of treating oral diseases, which far outweighs the cost of sharing oral health education for prevention, Kinywa Salama Initiative and Dentopharma Supplies Dentopharma Supplies …

Feb. 21, 2024

At Kinywa Salama, our mission is simple yet profound: to promote oral health and prevent oral diseases in communities across Tanzania. But what does that really mean, and why does it matter?

Your …

WhatsApp